Paroles de ' Nina Siri ' par Israel Mbonyi

Nina Siri est une chanson de Israel Mbonyi dont les paroles ont été innombrablement recherchées, c'est pourquoi nous avons décidé qu'elle méritait sa place sur ce site web, avec beaucoup d'autres paroles de chansons que les internautes souhaitent connaître.

Si vous avez longtemps cherché les paroles de la chanson Nina Siri de Israel Mbonyi , commencez à échauffer votre voix, car vous ne pourrez pas arrêter de la chanter.

Nina siri naye Yesu
Yanifanya niwe jasiri
Kwa amani nayo dhiki
Yanifanya niwe jasiri
Yaniburudisha, nikirukaruka
Hosana, Amen
Yaniburudisha, nikirukaruka
Nikiimba Hosana, Amen
Nina siiri
Nina siri naye Yesu

(Yanifanya) Yanifanya niwe jasiri
(Kwa amani) Kwa amani nayo dhiki
(Yanifanya) Yanifanya niwe jasiri
(Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka
(Hosana) Hosana, Amen
(Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka
Nikiimba Hosana, Amen
Nina siri naye Yesu
Yanifanya niwe jasiri
(Kwa amani) Kwa amani (nayo shida) nayo dhiki
(Yanifanya) Yanifanya niwe jasiri
(Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka
(Hosana) Hosana, Amen
(Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka
(Hosana) Nikiimba Hosana, Amen

Waambie wanaolia
Wakiteswa na malimwengu
Waonjeni neema yake
Na rehema yake Mwokozi
Watafunguliwa, watawekwa huru
Hosana, Amen
Watafunguliwa, watawekwa huru
Hosana, Amen
Waambie wanaolia
Wakiteswa na malimwengu
Waonjeni neema yake
Na rehema yake Mwokozi
Watafunguliwa, watawekwa huru
Hosana, Amen
Watafunguliwa, watawekwa huru
Wataimba Hosana, Amen
Nina siiri
Nina siri naye Yesu
Yanifanya niwe jasiri

(Kwa amani) Kwa amani (nayo shida) nayo dhiki
(Yanifanya) Yanifanya niwe jasiri
(Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka
(Hosana) Hosana, Amen
(Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka
(Hosana) Nikiimba Hosana, Amen
Nina siri naye Yesu (Mwokozi wangu)
Yanifanya niwe jasiri
(Kwa amani) Kwa amani (nayo shida) nayo dhiki
(Yanifanya) Yanifanya niwe jasiri
(Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka
(Hosana) Hosana, Amen
(Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka
(Hosana) Nikiimba Hosana, Amen
Nina siri naye Yesu (Hallelujah)

Nikirukaruka

Hallelujah!
Nikirukaruka
Hosana, Amen
Hallelujah!

Play Escuchar " Nina Siri " gratis en Amazon Unlimited

Otras canciones de Israel Mbonyi

Savoir ce que disent les paroles de Nina Siri nous permet de mettre plus de sentiment dans l'interprétation.

Si votre motivation pour avoir recherché les paroles de la chanson Nina Siri était que vous l'adorez, nous espérons que vous pourrez profiter de la chanter.

Ce qui arrive plus souvent que nous le pensons est que les gens recherchent les paroles de Nina Siri parce qu'il y a un mot dans la chanson qu'ils ne comprennent pas bien et veulent s'assurer de ce qu'il dit.

Vous vous disputez avec votre partenaire parce que vous comprenez des choses différentes en écoutant Nina Siri ? Avoir sous la main les paroles de la chanson Nina Siri de Israel Mbonyi peut régler de nombreux différends, et nous l'espérons ainsi.

Nous espérons vous avoir aidé avec les paroles de la chanson Nina Siri de Israel Mbonyi .

Sur cette page, vous avez à votre disposition des centaines de paroles de chansons, comme Nina Siri de Israel Mbonyi .

Apprenez les paroles des chansons que vous aimez, comme Nina Siri de Israel Mbonyi , que ce soit pour les chanter sous la douche, faire vos propres covers, les dédier à quelqu'un ou gagner un pari.